Morocco kuumana na Afrika kusini Fainali WAFCON
Timu ya taifa ya Afrika kusini wamepata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Zambia na kutinga hatua ya fainali ya michuano ya mataifa huru ya Afrika ya Wanawake 'WAFCON' kwa goli liliofungwa na Linda Motlhalo kwa mkwaju wa penati katika dakika ya 90.