Wagonjwa wa upasuaji wa ubongo nchini waongezeka
Daktari Bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Henry Humba, amesema wagonjwa wanaohitaji huduma ya upasuaji wa ubongo, mishipa na mifupa ya fahamu imeongezeka kutokana na mfumo wa maisha unavyobadilika hasa kwa nchi zinazoendelea.