Gari lapata ajali na kuua wawili

Hiace iliyoua wawili mkoani Tanga

Watu wawili wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Toyota hiace lililokuwa limebeba magazeti kuligonga kwa nyuma scania wakati dereva akijaribu kulipita alfajiri ya leo Septemba 7, 2022, katika eneo la Kwedizinga wilayani Handeni mkoani Tanga. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS