DC aomba msaada kukabiliana na tembo Mkuu wa wilaya ya Handeni Sirieli Mchembe ameomba msaada wa haraka kutoka mamlaka ya hifadhi ya wanyama pori TAWA kuwanusuru wananchi na tembo zaidi ya 50 waliovamia maeneo yao Read more about DC aomba msaada kukabiliana na tembo