"Nipo radhi kupitisha bakuli Simba" - Tundaman Picha ya msanii Tundaman Msanii na shabiki wa Klabu ya Simba Tundaman amesema yupo tayari kupitisha bakuli la kuchangia timu yake kufanya usajili mkubwa kama walivyozoea. Read more about "Nipo radhi kupitisha bakuli Simba" - Tundaman