Mavunde ataka wakulima kupewa elimu Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde ameitaka Taasisi ya Utafiti Kilimo (TARI) na wadau wengine wa kilimo kutoa elimu ya matumizi sahihi ya mbolea ili kumsaidia mkulima wa Tanzania kulima kwa tija Read more about Mavunde ataka wakulima kupewa elimu