Tanzania yapokea chanjo mpya ya UVIKO-19 Tanzania imepokea chanjo ya UVIKO-19 aina ya Sinopharm dozi Milioni tatu (3,000,000) ambazo zitawasaidia kuwakinga wananchi 1,500,000 dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Korona Read more about Tanzania yapokea chanjo mpya ya UVIKO-19