Viongozi wa sensa wapewa tahadhari

Kiongozi wa mbio za mwenge Sahili Geraruma amewataka viongozi watakaochaguliwa kuchukua taarifa za watu katika zoezi la sensa linalotarajiwa kufanyika tarehe 23 ya mwezi ujao kutotumia vibaya taarifa hizo vinginevyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS