Mwalimu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi wake
Asafu Raphael Lutebuka ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Nyamgeni iliyopo Kijiji na kata ya Nguruka Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma, amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na vitendo vya ubakaji kwa mwanafunzi wake wa darasa la sita