Acheni kugeuza uwanja wa ndege kama barabara
Wakazi wa mtaa wa Idundilanga Halmashauri ya mji wa Njombe wameitaka serikali kutoa ufafanuzi kuhusu kuanza ujenzi wa Uwanja wa ndege uliopo mjini humo ili kuwaepusha na kero inayowatesa muda wote ya kukabwa na vibaka