Rais José Eduardo dos Santos aliwekewa sumu

Mwanasheria mkuu wa serikali ya nchini Angola , Helder Pitta Gros amesema kwamba uchunguzi uliofanyika umeonesha kuwa kifo cha Rais  wa zamani wa nchi hiyo José Eduardo dos Santos kilisababishwa na sumu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS