Rais asema kuna wananchi wanavuja damu na kuanguka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba juzi Waziri Mkuu alimwambia kuna maradhi yamejitokeza katika mikoa ya Kusini ya watu kuvuja damu puani na kudondoka, ambapo sasa wataalam wapo huko ili kuchunguza kujua ni kitu gani.