Djokovic ameshinda Grand Slam ya 21

Novak Djokovic ameshinda Wimbledon kwa mara ya 4 mfululizo

Mcheza tennisi raia wa Serbia Novak Djokovic ameshinda Grand Slams ya 21 kwenye mchezo huu baada ya kutwaa ubingwa wa michuano ya wazi ya Uingereza Wimbledon 2022 kwa kumfunga Nick Kyrgios raia wa Austalia kwenye mchezo wa fainali kwa ushindi wa set 3-1.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS