Polisi 100,000 kulinda uchaguzi nchini Kenya

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani wa Kenya, Karanja Kibicho

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani wa Kenya Karanja Kibicho, amesema takriban maafisa wa Polisi 100,000 watatumika kulinda usalama wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, mwaka huu. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS