Waziri Mchengerwa -vilabu kuwa na miundombinu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa amevitaka vilabu vya michezo kufanya uwekezaji ikiwa ni pamoja na kujenga miundombinu ili kuinua michezo. Read more about Waziri Mchengerwa -vilabu kuwa na miundombinu