"Tumechoma nyavu za bilioni 2,"- RC Kagera
Mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge, amewataka wananchi kushirikiana na serikali kukabiliana na vitendo vya uvuvi haramu ambavyo vinachangia kuathiri uchumi wa mkoa kutokana na kuharibu rasilimali za ziwa Victoria ambalo ni chanzo cha mapato kwa wananchi na serikali.