Waliohamia Msomera awamu ya nne wapokelewa
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Bw. Kaspar Mmuya amewashukuru wananchi waliohamia katika Kijiji cha Msomera awamu ya nne huku wakionesha furaha yao kwa kuanza maisha mapya ya katika kijiji hicho