Polyclinic zadaiwa kuwa kichochoro cha udanganyifu Waziri Wa Afya, Ummy Mwalimu. Waziri Wa Afya Ummy Mwalimu, amesema serikali inafanya mapitio ya polyclinic zote nchini ili kubaini vigezo vyake kwa sababu zimekuwa kichochoro cha udanganyifu. Read more about Polyclinic zadaiwa kuwa kichochoro cha udanganyifu