Dar ya sita kwa usafi barani Afrika
Rais Samia amesema kwamba jarida la Africa Tour Magazine, limelitangaza jiji la Dar es Salaam, ni Jiji la sita kwa usafi barani Afrika, ambapo katika utambulisho wake akatumia nafasi hiyo kumpongeza Mkuu wa mkoa huo kwa kusimamia usafi.