Zimamoto watoa mafunzo kwa vijana
Jeshi la zimamoto Mkoani Rukwa kwa kushirikiana na Hifadhi ya msitu wa Mbizi wametoa mafunzo ya kudhibiti na kuzuia majanga ya moto kwa vijana mia moja kutoka katika Kamati ya mazingira ya vijiji kumi vinavyozunguka Hifadhi ya msitu wa mbizi ili kusaidia kutunza mazingira