Graphite kuanza kuchimbwa Ruangwa - Majaliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo katika majadiliano na kampuni ya Uranex kwa ajili ya ujenzi wa mgodi wa madini ya bunyu (graphite) utakaoanza hivi karibuni. Read more about Graphite kuanza kuchimbwa Ruangwa - Majaliwa