Bodi ya maji bonde la Wami Ruvu yatoa mifuko 50
Bodi ya Maji ya bonde la Wami Ruvu wametoa msaada wa mifuko ya saruji 50 kwa shule ya msingi Kidunda iliyopo Kata ya Mkulazi, Halmashauri ya wilaya ya Morogoro. Msaada wa mifuko hiyo ni kutelekeleza agizo la Waziri wa Maji Jumaa Aweso, alilotoa alipofika katika Kijiji hicho.