"Sikupanga kubakia madarakani." - Rais Kenyatta

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amekiri kuwa alikuwa tayari kujiondoa katika kinyang’anyiro cha urais baada ya Mahakama ya Juu kufutilia mbali ushindi wake wa Agosti 9, 2017.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS