TANZIA : Bi Hindu afariki dunia Picha ya Bi Hindu enzi za uhai wake Mmoja wa waasisi wa Kaole Sanaa Bi Chuma Suleiman maarufu kama 'Bi Hindu' amefariki dunia leo nyumbani kwake Magomeni, Dar es Salaam baada ya kusumbuliwa na maradhi ya muda mrefu. Read more about TANZIA : Bi Hindu afariki dunia