Viashiria vya kukua kwa utalii nchini Serikali imevitaja baadhi ya viashiria vinavyotumika kupima ongezeko la watalii ikiwemo mahotel, viwanja vya ndege pamoja na ongezeko la safari na idadi ya ndege zinazofanya safari kwenye makampuni. Read more about Viashiria vya kukua kwa utalii nchini