Shamsa Ford aeleza alivyopigika na maisha
Kupitia Friday Night Live ya @eastafricatv na #EastAfricaRadio staa wa filamu nchini shamsaford amesema kuna kipindi alipitia changamoto za maisha mpaka kuuza gari yake na kukaa miaka mitatu bila kutumia gari.