Wahukumiwa miaka 70 kwa wizi wa mifugo

Watu sita ambao ni majambazi sugu wa mifugo wamehukumiwa kifungo cha miaka 70 jela kwa  kosa la unyanganyi wa kutumia silaha aina ya bunduki na mapanga katika mahakama ya wilaya ya Tarime Mkoani Mara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS