Uchimbaji madini maeneo ya hifadhi Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa maeneo yaliyopo kwenye hifadhi bado yanatafutiwa ufumbuzi ili wachimbaji wa madini waweze kuchimba na kunufaika na rasilimali hizo. Read more about Uchimbaji madini maeneo ya hifadhi