Watano wafariki ajalini Tabora Basi lililopata ajali Watu watano wamefariki dunia katika ajali ya basi la kampuni ya Sasbosa, ambayo imetokea Julai Mosi, 2022, katika Kijiji cha Mabangwe wilayani Sikonge, ambalo lilikuwa likitokea mkoa wa Mbeya kwenda mkoani Tabora. Read more about Watano wafariki ajalini Tabora