Maduka yateketea kwa moto Njombe Sehemu ya maduka yaliyoungua Takribani maduka sita yameketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Julai 17, 2022, katika eneo la National Housing Njombe mjini na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara. Read more about Maduka yateketea kwa moto Njombe