Alichokisema Mutta kuhusu kupotea kwake

Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare

Diwani wa Kata ya Kawe, jijini Dar es Salaam, Mutta Rwakatare, amesema kwamba kupotea kwake kulishatolewa ufafanuzi na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, na kwamba hayo ni masuala ya kiafya sio vizuri kuyazungumzia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS