Polisi waanza uchunguzi tukio la mauaji Kigoma

Watu sita wa familia moja wakazi wa kitongoji cha Kakonkwe kijiji cha Kiganza wilayani Kigoma Mkoa wa Kigoma, wameuawa na watu wasiojulikana  kwa kuwapiga na kitu chenye ncha kali vichwani na mwilini na kumjeruhi mtoto wa miaka minne na kumwacha hai mtoto mwingine wa miezi mitatu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS