"Changamoto za ukatili bado zipo" - Dkt. Jingu
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. John Jingu, ametoa wito kwa, taasisi mbalimbali za serikali, kiraia na wadau mbalimbali wa maendeleo kuunganisha nguvu dhidi ya ukatili wa wanawake na watoto.