Marufuku wanafunzi kutozwa michango kiholela

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Ofisi ya Rais-TAMISEMI ishirikiane na Sekretarieti  za  Mikoa na  Halmashauri zote kufuatilia matumizi na upatikanaji wa taarifa za fedha za Elimumsingi bila ada na zihakikishe wanafunzi hawatozwi  michango kiholela.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS