Mitandao ya kijamii inavyolipa Tanzania
Leo ni siku ya Mitandao ya Kijamii Duniani ambayo huadhimishwa Juni 30 kila mwaka tangu mwaka 2010. Mitandao ya kijamii hutumika na kundi kubwa la watu katika jamii kama sehemu ya mawasiliano, biashara na elimu.