Mpole ambwaga Mayele

Straika wa Geita Gold, George Mpole

Straika wa Geita Gold, George Mpole ameibuka kinara wa ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22, baada ya kufikisha mabao 17 na kumpiku nyota wa Yanga, Fiston Mayele aliyemaliza na mabao 16.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS