Kundi la tatu la wananchi laagwa Ngorongoro
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana, leo Juni 30, 2022 ameshiriki zoezi la kuaga kundi la tatu la Kaya zaidi ya 25 za wananchi wanaohama kwa hiari yao kutoka katika hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomera Handeni mkoani Tanga.