Mtumishi wa TANESCO afia guest Katavi
Mtumishi wa Shirika la Umeme (TANESCO) anayefahamika kwa jina la Yahaya Abdul, mkazi wa Manispaa ya Mpanda mkoa wa katavi, amekutwa amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni alikoenda kujipumzisha na rafiki yake wa kike.