Wanaojifanya walimu na waganga wadakwa Dar
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu 25 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo uhalifu kwa njia ya mtandao na biashara haramu ya ngono, akiwemo mtu maarufu aitwaye Kigegi anayetuhumiwa kwa wizi wa kimtandao kwa kujifanya mwalimu na mganga