Serikali kushirikiana na mashirika binafsi

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hasaan itaendeleza kukuza na kutoa ushirikiano kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikari (NGO) ili kuleta tija na maendeleo kwa jamii ya Watanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS