Rais aeleza Mama Mkapa alivyompa ari ya siasa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba Mama Anna Mkapa, ndiyo mtu wa kwanza kumwambia kama anafaa kuingia kwenye siasa, alipomwita kupanda gari lake. Read more about Rais aeleza Mama Mkapa alivyompa ari ya siasa