Tunaisaka rekodi ya Unbeaten bado-Yanga

(Hassani Bumbuli -Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano-Yanga)

Kikosi cha klabu ya Yanga kinarejea leo kambini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa mwisho wa kufungia msimu dhidi ya Mtibwa Sugar mnamo June 29, 2022 katika uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa kumi kamili jioni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS