Tetesi za usajili leo, Neymar akubali kuondoka PSG
Tetesi za usajili barani Ulaya leo Juni 27, 2022. Miongoni mwa taarifa za leo Manchester United yepeleka Offa ya kumsajili Frenkie de Jong, Arsenal kumsajili Gabriel Jesus kwa mkataba wa miaka 5 na Neymar yupo tayari kuondoka PSG.
a