Bale kucheza pamoja na Chiellini
Nahodha wa Wales,Gareth Bale amekubali kujiunga na Klabu ya Los Angeles Fc akiwa mchezaji huru. Nyota huyo amejiunga na timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani MLS baada ya Mkataba na Mabingwa wa Ulaya Klabu ya Real Madrid.