RC Makalla azindua vibanda maalum vya Machinga Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla leo Juni 25/2022 amezindua Vibanda maalumu 20 kwaajili ya Machinga Mkoa huo ikiwa ni sehemu ya ahadi ya Serikali kuboresha mazingira ya kufanya Biashara Read more about RC Makalla azindua vibanda maalum vya Machinga Dar