Redondo kusepa Biashara United Ramadhan Chombo ‘Redondo’ Nyota wa Biashara United, Ramadhan Chombo ‘Redondo’ ameweka wazi kuwa msimu ujao atakuwa nje ya Biashara United ambayo anaitumikia kwa sasa. Read more about Redondo kusepa Biashara United