FIFA waruhusu wachezaji 26 WC Qatar
Shirikisho la soka Duniani FIFA limethibitisha kuwa litaruhusu timu zinazoshiriki michunoa ya kombe la dunia kuongeza wachezaji hadi kufikia wachezaji 26 katika vikosi vyao kwa ajili ya michuano hiyo itakayofanyika nchini Qatar mwezi November mwaka huu.