Rasmi Biashara yashuka daraja

kikosi cha Biashara United ya Musoma.

Biashara United imeshuka daraja baada ya kufungwa magoli 4-1 na kwa Azam FC. Biashara imeungana na Mbeya Kwanza FC kuanza kuitafuta njia ya kurudi Ligi Kuu Tanzania Bara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS