Barcelona kumnunua Lewandowski kwa Bilioni 97
FC Barcelona wamepeleka offa yao ya kwanza yakumsajili mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski. Tayari mshambuliaji huyo ameomba kuondoka na mkataba wake na the Bavarians unamaliza mwakani 2023.