Amsamehe mkewe baada ya kumkata sehemu za siri Picha ya Bentan Wiwa aliyekatwa sehemu za siri na mkewe Mzee Bentan Wiwa kutoka Tunduru Ruvuma, amefunguka kumsamehe mke wake baada ya kumkata na viwembe sehemu zake za siri kutokana na wivu wa mapenzi. Read more about Amsamehe mkewe baada ya kumkata sehemu za siri